Lugha ni sauti za nasibu zenye kubeba maana zilizokubaliwa na jamii ili ziweze kutumika katika mawasiliano. Katika utumiaji wa lugha tunaangalia ni kwa jinsi gani au namna gani ambavyo watu au wanajamii huitumia lugha yao kwa kuangalia mitindo mbalimbali ya kimatumizi ya lugha hiyo
.

.

No comments:
Post a Comment