MISIMU
Misimu au simo ni maneno yasiyosanifu yanayozuka au kuzushwa na kikundi cha watu wachache wenye utamaduni mmoja ili kuelezana mahusiano yao kama kikundi au kuhusu jamii kubwa ambamo vikundi hivyo vinaishi katika kipindi fulani cha muda na hatimaye maneno hayo hupotea na yanayodumu husanifishwa na kuwa msamiati rasmi wa lugha inayohusika.
No comments:
Post a Comment