CHANZO CHA MISIMU
Msimu huzuka kutokana na mabadiliko ya kihistoria yanayoikumba jamii katika nyakati mbalimbali. Matukio muhimu yanapotokea katika jamii ni kama vile njaa, vita, ukame na mengineyo ambayo huigusa jamii kwa namna Fulani husababisha misimu inayoelezea matukio hayo muhimu.
Misimu mingine huzuka hali ya utani miongoni mwa watu mbalimbali. Mara nyingi misimu ya aina hii hubeba kebehi, dhihaka, bezo, dharau au kusifu kuliko kawaida.
No comments:
Post a Comment