DHIMA ZA REJESTA
Ø Rejesta hutumika kama kitambulisho cha wazungumzaji
Ø Rejesta hupunguza ukali wa maneno.
Ø Rejesta hutumika katika kurahisisha mawasiliano.
Ø Rejesta hupamba lugha miongoni mwa wazungumzaji.
Ø Rejesta huweza kuwa kiungo cha ukuzaji lugha pale lugha inapohusika inapoweza kuunda msamiati wake.
No comments:
Post a Comment