clock

REJESTA

REJESTA
Ni mtindo wa lugha inayotumika mahali penye shughuli maalum penye mkusanyiko maalum. Mtindo huu wa lugha huwa tofauti na lugha ya kawaida kwani huzingatia mahali mzungumzaji alipo na shughuli inayofanyika.Kwa mfano mahakamani kuwa na lugha yao ambayo ni tofauti na lugha ya hotelini au mazingira mingine toafauti.

No comments:

Post a Comment

<marquee>UTUMIAJI WA LUGHA</marquee>

UTUMIAJI WA LUGHA Katika utumiaji wa lugha tutaangalia ni kwa jinsi gani lugha inavyotumika katika mazingira mbalimbali ili tuu kuweza kuf...