clock

MAKOSA YA KIMANTIKI

Makosa ya kimantiki.

Mantiki ni mtiririko wa fikra zilizopangwa ili kujenga hoja yenye kueleweka au kukubalika. Kosa la kimantiki ni hali ya kukosa utaratibu mzuri wa kufikiri hasa wakati wa kuzungumza na kuandikwa
Mara nyingi tatizo hili hutokea kwa sababu ya upotofu wa mawazo ya mzungumzaji.
Mfano:
(a)  Nyumba imeingia nyoka
Nyoka ameingia kwenye nyumba

(b)  Jicho limeingia mdudu
Mdudu ameingia jichoni

(c)  Chai imeingia nzi
Nzi ameingia kwenye chai

(d)  Mfupa hauna ulimi
Ulimi hauna mfupa

No comments:

Post a Comment

<marquee>UTUMIAJI WA LUGHA</marquee>

UTUMIAJI WA LUGHA Katika utumiaji wa lugha tutaangalia ni kwa jinsi gani lugha inavyotumika katika mazingira mbalimbali ili tuu kuweza kuf...