clock

DHIMA ZA MISIMU

DHIMA ZA MISIMU

·         Kukuza lugha
·         Kupamba lugha
·         Kufanya mawasiliano yawe mafupi na yenye kueleweka kwa haraka.
·         Kuwa na siri/ hupunguza ukali wa maneno wakati wa mazungumzo ya kawaida
·         Kuhifadhi historia ya jamii
·         Kuibua hisia mbalimbali za wazungumzaji
·         Kufurahisha na kuchekesha
·         Kukosoa na kuihasa jamii
Kuunganisha watu na makundi mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

<marquee>UTUMIAJI WA LUGHA</marquee>

UTUMIAJI WA LUGHA Katika utumiaji wa lugha tutaangalia ni kwa jinsi gani lugha inavyotumika katika mazingira mbalimbali ili tuu kuweza kuf...