LUGHA YA MAZUNGUMZO NA LUGHA YA MAANDISHI
Maana ya lughaLugha ni mfumo wa sauti za nasibu za binadamu zenye mpangilio maalumu wenye kuleta maana zilizokubalika na jamii husika ili ziweze kutumika katika mawasiliano.
KUNA AINA KUU MBILI ZA LUGHA
(i) Lugha ya mazungumzo na
(ii) Lugha ya maandishi
No comments:
Post a Comment