LUGHA YA MAANDISHI
Ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya maandishi na ni kiwakilishi cha lugha ya mazungumzo.
SIFA ZA LUGHA YA MAANDISHI
1. Mwandishi na msomaji, mwandishi chanzo na msomaji kikomo.;
2. Nyenzo kubwa ya uwasilishwaji wake ni maandishi.
3. Haibadiliki badiliki – ikishaandikwa hubaki vilevile hata kama ni makosa
4. Huitaji kufikiri kwa makini kabla ya kutoa. Hivyo ina maadili ambayo mwandishi hufanya ili afanikiwe zoezi lake.
5. Hudumu kwa muda mrefu kama kumbukumbu baada ya kuandikiwa.
No comments:
Post a Comment