· Misimu huzuka na kutoweka. Hii ni kutokana na mabadiliko ya kihistoria
· Misimu ni lugha isiyo sanifu. Huzushwa na watu kutokana na hisia na mataka yao binafsi
· Misimu ni lugha ya mafumbo hufahamika na kikundi kidogo cha watu
· Misimu ina chumvi/ chuku
· Misimu ina maana nyingi
· Misimu hupendwa sana na wengi sababu ina mvuto
· Misimu huhifadhi historia ya jamii.
No comments:
Post a Comment