clock

UTATA KATIKA MAWASILIANO

UTATA KATIKA MAWASILIANO.
Utata  ni hali ya sentensi  au neno kuwa na mana zaidi  ya moja. Sentensi tata ni sentensi ambayo hutoa taarifa zaidi ya moja. Mfano mtoto amelalia uji.
Mtoto amelala juu ya uji
Mtoto amekunywa uji alipotaka kulala

No comments:

Post a Comment

<marquee>UTUMIAJI WA LUGHA</marquee>

UTUMIAJI WA LUGHA Katika utumiaji wa lugha tutaangalia ni kwa jinsi gani lugha inavyotumika katika mazingira mbalimbali ili tuu kuweza kuf...